Jumanne, 20 Januari 2015

Ni collabo nyingine mtu wangu, Flora Mvungi kaja na ‘Mkazurure’, feat. AT (Audio)

.
.
Tulimfahamu sana kupitia filamu, Flora Mvungi time hii naye kaamua pia kuingia kwenye Bongo Fleva, leo ameachia single yake mpya iitwayo ‘Mkazurure’ aliyomshirikisha AT.
Producer Fraga kutoka studio ya Uprise Music.
Isikilize hapa mtu wa nguvu, kama una chochote kuhusu hii unaweza kuandika comment yako pia.
Ni halali yako kupata kila kinachonifikia mtu wangu na niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Twitter, Instagram na Facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza hapa >>>

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni